
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTI XTRA JUMANNE
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Spoti Xtra Jumanne, Januari nne.
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Spoti Xtra Jumanne, Januari nne.
MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Bara, Simba leo Januari 3 2022 wametambulisha uzi mpya. Ni uzi maalumu ambao utatumika katika Kombe la Shirikisho pamoja na Kombe la Mapinduzi ambalo linafanyika Zanzibar. Tayari kikosi kimewasili Zanzibar kwa ajili ya mashindano hayo ambayo yameanza kurindima jana Januari 2. Mchezo wao wa kwanza unatarajiwa kuwa ni Januari 5,2022…
NYOTA wa kikosi cha Liverpool kinachoshiriki Ligi Kuu England, Sadio Mane na mlinda lango namba moja wa Chelsea Eduardo Mendy wamesafiri pamoja kurejea nyumbani Afrika kwa ajili ya kujiunga na timu ya taifa ya Senegal tayari kwa michuano ya AFCON. Nyota hao walicheza kwenye mchezo wa jumapili wa ligi kuu soka nchini England Chelsea walipowaalika Liverpool. Kwenye mchezo huo uliochezwa Uwanja wa…
IKIWA ni saa kadhaa kuyeyuka baada ya Ahmed Ally kutanagzwa rasmi kuwa Ofisa Habari wa Simba akichukua mikoba iliyoachwa na Haji Manara ambaye kwa sasa yupo ndani ya Yanga, ameweka wazi malengo ya timu hiyo kuelekea Kombe la Mapinduzi. Simba ina kazi ya kusaka taji la Mapinduzi ambalo lipo mikononi mwa Yanga ambayo ilitwaa mwaka…
IMEELEZWA kuwa kiungo wa mpira Clatous Chama nyota wa RS Berkane yupo njiani kurudi Simba kwa ajili ya kuitumikia timu hiyo inayonolewa na Kocha Mkuu, Pablo Franco. Ni msimu uliopita wa 2020/21 Chama alikuwa ndani ya Simba na alikuwa ni chaguo la kwanza la Kocha Mkuu Didier Gomes ambaye alibwaga manyanga msimu huu wa 2021/22…
RASMI leo Januari 3,2022 uongozi wa Simba umemtangaza Ahmed Ally kuwa Ofisa Habari wa timu hiyo inayonolewa na Kocha Mkuu Pablo Franco. Ally anakuja kuchukua mikoba ya Haji Manara ambaye alibwaga manyanga mwaka 2021 na sasa ni Ofisa Habari ndani ya kikosi cha Yanga. Aliposepa Manara nafasi hiyo alikaimu Ezekiel Kamwaga ambaye kwa sasa yupo…
JANUARI Mosi 2022, Uwanja wa Mkapa mashabiki wa Yanga walijitokeza pia kushuhudia mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Simba v Azam FC ambao ulikuwa ni wa kwanza kwa timu hizo ndani ya ligi kwa msimu wa 2021/22. Baada ya dakika 90 ilikuwa Simba 2-1 Azam FC ambapo mashabiki hao wa Yanga walikuwa wakipiga stori…
WAKIWA Uwanja wa Stamford Bridge, Liverpool ilikwama kusepa na pointi tatu mbele ya Chelsea katika mchezo wa Ligi Kuu England. Watajilaumu wenyewe kwa kuwa walipata mabao ya mapema ndani ya dakika 30 za mwanzo kupitia kwa Sadio Mane dakika ya 9 na Mohamed Salah dakika ya 26. Hao Chelsea wanaonolewa na Thomas Tuchel walipindua meza…
IMEELEZWA kuwa mabosi wa Simba wamefikia maamuzi ya kuachana na kiungo mshambuliaji wao Mmalawi, Duncan Nyoni na kumalizana na kiungo Mzambia, Samuel Sikaonga. Nyoni aliungana na Simba mwanzoni mwa msimu huu, kwa mkataba wa miaka mitatu, akitokea Silver Strikers ya Malawi, lakini ameshindwa kuonyesha kiwango bora ndani ya timu hiyo jambo linalodaiwa kuwapelekea mabosi wake kumfungashia virago. Chanzo kutoka Simba kimeeleza kwamba, baada ya uongozi wa…
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Jumatatu, Januari 3,2022.
NI habari njema kwa mashabiki wa Yanga baada ya kiungo mshambuliaji wa timu hiyo, Yacouba Songne raia wa Burkina Faso kuanza mazoezi mepesi, huku akitarajiwa kurejea rasmi uwanjani baada ya mwezi mmoja kama hakutakuwa na mabadiliko yoyote. Yacouba alipata majeraha ya goti kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Ruvu Shooting uliochezwa Novemba 2, mwaka huu kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar na Yanga kushinda 3-1. Baada ya…
KIKOSI cha Azam FC leo Januari 2,2022 kimeanza safari kuelekea Zanzibar kwa ajili ya kwenda kushiriki mashindano ya Kombe la Mapinduzi. Jana Januari Mosi 2022, Azam FC ilifungua mwaka kwa kupoteza pointi tatu mbele ya Simba baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Mkapa kusoma Simba 2-1Azam FC. Wanaelekea Zanzibar kulisaka taji ambalo lipo…
PABLO Franco, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa alikuwa anataka kuona wachezaji wake wanapambana na kushinda bila kufungwa lakini haijawa hivyo kwenye mchezo wao wa ufunguzi wa mwaka 2022 uliochezwa Uwanja wa Mkapa. Katika mchezo uliochezwa Januari Mosi,2022 kipa namba moja wa Simba, Aishi Manula alitunguliwa bao moja na Rodgers Kola wa Azam FC huku…
MSHAMBULIAJI wa Chelsea, Romelu Lukaku ameweka wazi kuwa kwa sasa hana furaha ndani ya kikosi hicho kinachonolewa na Kocha Mkuu, Thomas Tuchel. Jambo hilo ni kubwa na gumu kwa kuwa linaweza kuvuruga mwendo wa kikosi hicho kwa msimu wa 2021/22. Nyota huyo ameweka wazi kwamba anahitaji kuweza kurejea Inter Milan ili akaendelee na maisha yake…
MSHAMBULIAJI wa AC Milan, Zlatan Ibrahimovic hajaonesha kukubali uwezo wa mfalme wa Soka kutoka nchini Brazil Pele ambaye anatajwa kuwa ni nyota bora wa muda wote. Licha ya Pele kuzungumzwa kufungwa magoli zaidi ya 1000 katika kipindi cha uchezaji wake, Zlatan haonekani kutishwa na rekodi hizo. “Kama ningecheza enzi za Pele, ningefunga mabao 3000. Hakukuwa…
KOCHA Mkuu wa Simba, Pablo Franco ameweka wazi kuwa sababu kubwa ya timu hiyo kuachana na baadhi yamastaa akiwemo kiungo, Ibrahim Ajibu aliyejiunga na Azam ni kuwaambia wazi kuwa hawakuwa na nafasi ndani ya kikosi chake. Simba ilitangaza rasmi Desemba 30,2021 siku ya Alhamisi kusitisha mkataba na Ajibu kwa kile kilichoelezwa kuwa ni makubaliano ya pande zote mbili, ambapo nyota huyo tayari ametangazwa kusaini mwaka…
WINGA Dennis Nkane aliyekuwa akikipiga ndani ya Biashara United sasa ni rasmi atakuwa ndani ya kikosi cha Yanga. Nyota anakuwa wa tatu kutambulishwa rasmi ndanj ya Yanga baada ya Sure Boy na Aboutwalib Mshery kutambulishwa. Ni zawadi ya mwaka mpya kwa mashabiki wa Yanga kwa kuwa alitambukishwa Januari Mosi 2022. Dili lake ni la miaka…