
USAJILI UFANYWE KWA UMAKINI MKUBWA
ILIKUWA ni Desemba 16 baada ya dirisha dogo la usajili kufunguliwa na sasa ni Januari 6 mambo yanazidi kwenda kasi huku vurugu za usajili zikiendelea. Ule usemi wa mwenye kisu kikali atakula nyama anayopenda inaendelea kwa sasa lakini ni lazima mipango iwe makini kwa kila timu. Iwe ni kwa timu ambazo zinashiriki Ligi Kuu Bara,…