
RALF AKIRI NYOTA MAN U WANATAKA KUSEPA
RALF Rangnick, Kocha Mkuu wa Manchester United kwa muda amekiri kwamba mastaa kadhaa wa timu hiyo wanataka kuondoka mara tu baada ya mikataba yao kuisha. Hivi karibuni ilielezwa kuwa mastaa 17 wa kikosi cha Manchester United inayoshiriki Ligi Kuu England wanataka kuondoka kutokana na kuona mambo hayaendi ndani ya timu hiyo. Kocha huyo hajaweka wazi…