Home Sports KIKOSI CHA SIMBA DHIDI YA MLANDEGE FC NI FULL MKOKO Sports KIKOSI CHA SIMBA DHIDI YA MLANDEGE FC NI FULL MKOKO January 7, 2022 FacebookTwitterPinterestWhatsApp KIKOSI cha Simba kitakachoanza leo dhidi ya Mlandege FC leo Januari 7 Kombe la Mapinduzi. Ni full mkoko umeanza kikosi cha kwanza kusaka ushindi mbele ya Mlandege ambao nao wapo kamili kusaka ushindi.