SIMBA YAGAWANA POINTI NA MLANDEGE
SIMBA leo Januari 7,2022 imetoshana nguvu bila kufungana na Mlandege FC kwenye mchezo wa pili wa Kombe la Mapinduzi. Dakika 90 zimekamilika kwa ubao wa Uwanja wa Amaan kusoma Simba 0-0 Mlandenge FC. Licha ya Simba kuanza na wachezaji wake wa kikosi cha kwanza ikiwa ni pamoja na kipa namba moja Aishi Manula, mshambuliaji wao…