Home Sports MILANGO MIGUMU DAKIKA 45,SIMBA 0-0 MLANDEGE FC

MILANGO MIGUMU DAKIKA 45,SIMBA 0-0 MLANDEGE FC

MILANGO ni migumu Uwanja wa Amaan baada ya dakika 45 kumeguka huku ubao ukisoma Simba 0-0 Mlandege FC.

Ni mchezo wa Kombe la Mapinduzi ambapo timu hizi zinasaka nafasi ya kutinga hatua ya nusu fainali.

Jitihada za Simba kuweza kupata bao la kuongoza ndani ya dakika 45 zimegonga mwamba kutokana na nafasi ambazo wamezitengeneza kushindwa kuleta matunda.

Mlandege FC nao jitihada zao za kusaka bao la kuongoza katika mchezo huo kwa kuwa Aishi Manula langoni ameweza kuwa imara.

Previous articleKIKOSI CHA SIMBA DHIDI YA MLANDEGE FC NI FULL MKOKO
Next articleSIMBA YAGAWANA POINTI NA MLANDEGE