KIUNGO AZIZ ANDAMBWILE BADO YUPO JANGWANI

NI majeraha ambayo yalifanya asionyeshe ubora wake akiwa katika uwanja msimu wa 2024/25 na alipata maumivu makubwa kwenye mchezo dhidi ya TaboraUnited alipokomba dakika 10 pekee, Uwanja wa Azam Complex. Ilikuwa ni Novemba 6 2024 zama za Kocha Mkuu, Miguel Gamondi. Anaitwa Aziz Andambilwe alicheza jumla ya mechi tano za ligi akikomba dakika 125, hakufunga…

Read More

AZAM FC YAMTAMBULISHA PAPE DOUDOU DIALLO KUTOKA SENEGAL

Klabu ya Azam FC imeendelea na harakati zake za kusaka ubingwa kwa msimu ujao kwa kumsajili rasmi winga hatari Pape Doudou Diallo, raia wa Senegal mwenye umri wa miaka 21. Mchezaji huyo ametambulishwa leo katika viunga vya Azam Complex, Chamazi. Diallo amesaini mkataba wa miaka miwili utakaoendelea hadi Juni 2027, huku Azam ikieleza matumaini makubwa…

Read More

UKUTA WA YERIKO WAVUNJIKA, CHE MALONE OUT

CHE Malone ndo basi tena ndani ya kikosi cha Simba SC baada ya kupata changamoto mpya nje ya Tanzania hivyo msimu wa 2025/26 hatakuwa ndani ya kikosi cha Simba SC kinachonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids. Che Malone anatajwa kupata timu nchini Algeria kwa ajili ya changamoto mpya na tayari Simba SC wamempa Thank You…

Read More

KIUNGO YANGA SC KUIBUKIA SINGIDA BLACK STARS

INAELEZWA kuwa nyota wa zamani wa Yanga SC, Clatous Chama anatajwa kuwa kwenye rada za mabosi wa Singida, Singida Black Stars inayotumia Uwanja wa Liti. Chama aliwahi kucheza Simba SC kabla ya kuibukia ndani ya Yanga SC msimu wa 2024/25 akiwa mchezaji huru na hakuwa na nafasi kikosi cha kwanza kutokana na uwepo wa Aziz…

Read More

JEAN AHOUA YUPO NDANI YA SIMBA SC ISHU YAKE BADO

KIUNGO mshambuliaji wa Simba SC, Jean Ahoua bado yupo ndani ya kikosi cha Simba SC kinachonolewa na Kocha Mkuu,Fadlu Davids kuelekea msimu mpya wa 2025/26. Taarifa zinaeleza kuwa kuna timu zaidi ya mbili ambazo zinahitaji saini yake lakini hawajafikia makubaliano mazuri kwa sasa kutokana na mchezaji huyo kuwa na mkataba wa mwaka mmoja. Timu ambazo…

Read More

AZAM FC YAANZA MATIZI, IBENGE ATUMA UJUMBE

MATAJIRI wa Dar, Azam FC wameanza maandalizi kuelekea msimu wa 2025/26 chini ya Kocha Mkuu, Florent Ibenge. Azam FC iligotea nafasi ya pili kwenye msimamo msimu wa 2024/25 na kiungo Feisal Salum alikuwa namba moja kwa kutengeneza pasi za mwisho ambazo ni 13 na alifunga mabao manne yote kwa mguu wa kulia. Ibenge ameweka wazi…

Read More

SIMBA SC KUWEKA KAMBI YAKE MISRI

KIKOSI cha Simba SC kinachonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids kwa maandalizi ya msimu wa 2025/26 kitaweka kambi nchini Misri. Ikumbukwe kwamba leo Julai 29 2025 Simba SC inatarajiwa kutangaza mdhamini mpya na ratiba nzima ya maandalizi kuelekea msimu wa 2025/26 unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa. Kuna wachezaji wapya ambao watatambulishwa hivi karibuni ndani ya…

Read More

MTAMBO WA MABAO SIMBA SC JEAN AHOUA KUONDOKA

MTAMBO wa mabao ndani ya kikosi cha Simba SC msimu wa 2024/25 kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara inayodhaminiwa na NBC Jean Ahoua huenda akaondoka ndani ya Bongo kwenda kupata changamoto mpya. Inaelezwa kuwa kiungo mshambuliaji wa Simba SC raia wa Ivory Coast, Ahoua yupo kwenye rada za Klabu ya JS Kabylie ya nchini Algeria kwa…

Read More

SIO FEI TOTO ALIYEFUATWA BAHARI YA HINDI ISHU IPO HIVI

WAKATI jina la kiungo mshambuliaji wa Azam FC, Feisal Salum likitajwa kuwa miongoni mwa wale ambao wamefuatwa kwenye sanduku la usajili la Simba SC katika kina cha Bahari ya Hindi inaelezwa kuwa jina hilo halipo. Taarifa zinaeleza kuwa jina la Fei limekutana na ugumu mzito kuwa ndani ya Simba SC hivyo jitihada zinaendelea kufanyika mpango…

Read More