AZAM FC WAIVUTIA KASI TABORA UNITED

MATAJIRI wa Dar, Azam FC hesabu kubwa kwa sasa ni kuelekea mchezo wao wa mwisho msimu wa 2024/25 wakiwa katika uwanja wao wa nyumbani. Azam FC uwanja wao wa nyumbani ni Azam Complex wanafunga ukurasa wa mwisho kwa mchezo dhidi ya TaboraUnited katika msako wa pointi tatu muhimu ndani ya dakika 90. Kwenye msimamo Tabora…

Read More

JEAN AHOUA KWENYE RADA ZA KAIZER CHIEFS

INAELEZWA kuwa Jean Ahoua kiungo mshambuliaji wa Simba SC chaguo la kwanza la Kocha Mkuu Fadlu Davids kwenye mechi za ushindani ndani ya msimu wa 2024/25 yupo kwenye rada za mabosi wa Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini. Ahoua ni anayevaa jezi namba 10 mgongoni ana uwezo kwenye kufunga na kutoa pasi za mabao akiingia kwenye…

Read More

BONASI KIBAO KUTOLEWA UKITUMIA AIRTEL PUSH

Anza mwaka na Funga mwaka na Airtel Push ndani ya Meridianbet kibabe ambapo wakali wa ubashiri Tanzania wamekuja na promosheni kali kabisa kwa wateja wao wa Airtel. AIRTEL PUSH ni promosheni ambayo ilianza toka Januari 01, na itamalizika mwisho wa mwaka yaani mwezi Disemba 31 mwaka 2025 na Meridianbet wanakwambia hivi pesa yako ya kwanza…

Read More

BEKI YANGA SC APATA DILI NONO

BEKI wa zamani wa Yanga SC Gift Fred ambaye alishindwa kupata namba kikosi cha kwanza na kupewa Thank You anatajwa kupata dili nono kwa ajili ya changamoto mpya. Gift Fred anakaribia kujiunga na Klabu ya KCCA ya nchini Uganda katika msimu ujao wa 2025/26 kwa ajili ya kutimiza majukumu yake. Gift anakwenda kujiunga na KCCA…

Read More

KIUNGO WA MPIRA YANGA SC AREJEA KAZINI

KIUNGO wa mpira ndani ya kikosi cha Yanga SC kinachonolewa na Kocha Mkuu, Miloud Hamdi amerejea kazini kwa ajili ya maandalizi ya mechi za kukamilisha mzunguko wa pili 2024/25. Yanga SC ni vinara wa ligi wakiwa na pointi 73 baada ya mechi 27 ni mechi tatu zimebaki kwa mujibu wa ratiba huku wao wakibainisha kuwa…

Read More

MCHEZO WA KASINO MAFIA CLASH, KUTANA NA MWAMBA ANAYELIPA ZAIDI

Tunakuletea mpambano wa mafia ambapo utakutana na bonasi za kasino zisizoweza kushindwa. Ni wakati wa kuchagua upande utakaokupeleka kwenye mizunguko ya mara nyingi. Furahia sherehe ya kipekee. Mafia Clash ni mchezo wa kasino ya mtandaoni inaotoa bonasi kibao kwa wachezaji, sloti hii imetengenezwa Hacksaw Gaming. Mchezo huu kutoka Meridianbet kasino ya mtandaoni una thamani inayoweza…

Read More

STARS VS BAFANA BAFANA NI VITA YA REKODI LEO

Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, inatarajiwa kushuka dimbani usiku wa leo kuwakabili wenyeji wao, Bafana Bafana ya Afrika Kusini, katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa utakaopigwa kwenye Uwanja wa Peter Mokaba kuanzia saa 2:30 usiku kwa saa za Afrika Mashariki. Mchezo huu unatoa nafasi ya kutengeneza pesa kubwa kwa wabashiri kupitia Meridianbet. Licha…

Read More

UNAHITAJI SAMSUNG A25?, BASHIRI NA MERIDIANBET

Meridianbet wamekuja na fursa ya kipekee kwa wateja wake ambapo kwa shilingi 5000 pekee inampa nafasi ya kuondoka na simu janja aina ya Samsung A25, hivyo shiriki sasa uwe moja ya washindi watakaotangazwa siku maalumu. Kushiriki promosheni hii lazima uwe umejisajili na Meridianbet na ubashiri mechi za ligi ya mpira  ambapo kwenye promosheni hii dau…

Read More