
AZAM FC YATINGA FAINALI KOMBE LA MAPINDUZI
MABINGWA wa kihistoria kwenye Kombe la Mapinduzi, Azam FC leo wameibuka na ushindi kwenye mchezo wa nusu fainali ya Kombe la Mapinduzi mbele ya Yanga kwa ushindi wa penalti. Dakika 90 zilikamilika kwa timu zote mbili kutoshana nguvu hivyo mshindi ametafutwa kwa kupitia mikwaju ya penalti. Ilikuwa ni moja ya mchezo wenye ushindani mkubwa ambapo…