
VAR KUTUMIKA AFCON, MAMBO YANAANZA LEO
HATIMAYE kwa mara ya kwanza katika historia ya michuano ya AFCON, mechi zote 52 zitatumia marefa wasaidizi wa picha za video (Video Assistant Referees – VAR) huko Cameroon. Michuano hiyo itaanza rasmi leo Jumapili Januari 9, 2022 ambapo wenyeji Cameroon watacheza na Burkinafaso katika uwanja wa Olembe huko Yaounde. Mechi ya mwisho itachezwa Februari 6…