LWANDAMINA BADO YUPOYUPO SANA AZAM
LICHA ya kuwa na matokeo mabaya msimu huu Kocha Mkuu wa Azam FC, George Lwandamina ameongezewa mkataba wa mwaka mmoja wa kuzidi kukinoa kikosi hicho. Lwandamina alijiunga na Azam msimu uliopita baada ya kuondoka kwa aliyekuwa kocha mkuu Mromania, Aristica Cioaba. Mpaka sasa Azam imecheza mechi nne za ligi huku akishinda moja dhidi ya…