LIVERPOOL INAKARIBIA MAKOMBE 4 KWA MSIMU HUU
LIVERPOOL baada ya kutinga fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya juzi, sasa kuna uwezekano wa miamba hiyo ya Anfield kutwaa makombe manne makubwa ‘quadruple’ ndani ya msimu mmoja. Itakuwa ni historia na rekodi ambayo haijawahi kuwekwa England. Liverpool iliichapa Villarreal 3-2 ugenini juzi nchini Hispania, na kuwaondoa vijana hao wa kocha Unai Emery kwa jumla…