HAALAND KUKIPIGA MANCHESTER CITY
MSHAMBULIAJI wa Klabu ya Borussia Dortmund raia wa Norway Erling Braut Haaland amefuzu vipimo vya afya tayari kujiunga na klabu Ligi Kuu ya Uingereza Manchester City. Haaland amefanyiwa vipimo hivyo nchini Ubelgiji na kwa mujibu wa taarifa ni kwamba mshambuliaji huyo tayari amesharejea kwenye kikosi cha Dortmund. Haaland anatarajiwa kupokea mshahara wa Paundi 375,000 kwa…