RATIBA YA LIGI KUU BARA LEO
JUNI 29,2022 Ligi Kuu Tanzania Bara ngwe ya mwisho inatarajiwa kuchezwa leo kwa kila timu kusaka pointi tatu muhimu. Ni Mbeya Kwanza pekee ambaye ameshajua kwamba msimu jao atacheza Championship huku timu nyingine zikiwa na kazi ya kusaka ushindi kupata kile wanachopambania. Hii hapa ratiba ya kukamilisha msimu wa 2021/22 ambapo bingwa ni Yanga amecheza…