
COMOROS BADO WANAISHI KWENYE AKILI ZA WATU AFCON
LICHA ya timu ya taifa ya Comoros kutolewa kwa kufungwa mabao 2-1 dhidi ya Cameroon katika hatua ya 16 bora ya Afcon 2021 timu hiyo bado imekaa kwenye mioyo ya watu kutokana na upambanaji wao bila kuchoka. Comoros ambao waliinyoosha Ghana katika mchezo wa mwisho wa kundi C na kupita wakiwa ni best losers juzi…