
BURUDANI INANOGA VIWANJANI, AFRIKA NA UFARANSA MAMBO NI MOTO!
Robo fainali ya mashindano ya AFCON kuendelea wikiendi hii. Mataifa 8 kuipambania nafasi ya kutwaa ubingwa wa Afrika. Kule Ufaransa, Coupe de France itaendelea! Nani ni nani? Jumamosi hii, Gambia kuchuana na Cameroon katika mchezo wa kwanza wa robo fainali ya AFCON. Gambia wanaingia kwenye hatua hii kama underdog lakini, uwezo wao uwanjani sio kitu…