
LEO, UWANJA WA KAITABA NI KAGERA SUGAR V SIMBA
UWANJA wa Kaitaba leo Januari 26 mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Kagera Sugar inayonolewa na Kocha Mkuu Francis Baraza unatarajiwa kuchezwa dhidi ya Simba. Simba inanolewa na Kocha Mkuu, Pablo Franco ambaye ameweka wazi kwamba anahitaji pointi tatu muhimu. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa saa 10:00 jioni Uwanja wa Kaitaba,Kagera. Kwenye msimamo Kagera Sugar…