SIMBA SC KUZINDUA UZI MPYA AGOSTI 27 2025

UONGOZI wa Simba SC umetaja siku rasmi itakayokuwa ni maalumu kwa uzinduzi wa uzi mpya wa timu hiyo kuelekea msimu mpya wa 2025/26 unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa. Ahmed Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba SC ameweka wazi kuwa uzinduzi wa uzi mpya utakuwa watofauti kidogo kutokana na mpango kazi uliopo. “Jezi…

Read More

YANGA SC VS SIMBA SC KARIAKOO DABI SEPTEMBA 16 2025

KARIAKOO Dabi inatarajiwa kuchezwa mapema ikiwa ni ufunguzi wa msimu mpya wa 2025/26 kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii (Community Shield) itakayowakutanisha Yanga SC na Simba SC, Septemba 16, 2025 jijini Dar. Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limethibitisha kuwa kwa mwaka huu, Ngao ya Jamii itachezwa kwa mchezo mmoja pekee kufuatia mabadiliko ya…

Read More

FEISAL SALUM AFICHUA HESABU ZA TANZANIA CHAN 2024

WAKATI Tanzania Agosti 16 2025 kwenye mchezo wa CHAN 2024 ikishuhudia ubao wa Uwanja wa Mkapa ukisoma Afrika ya Kati 0-0 Tanzania, kiungo Feisal Salum amebainisha kuwa watapambana katika hatua ya robo fainali kupata matokeo mazuri. Mchezo huo uliopita hatua ya makundi ulikuwa wa kwanza kwa Tanzania kugawaa pointi mojamoja. Katika mechi tatu ambazo zilipita…

Read More

YUSUPH KAGOMA APEWA KAZI MAALUMU NA ALI KAMWE

Ali Kamwe, Ofisa Habari wa Yanga SC amempa kazi maalumu kiungo mkabaji wa Simba SC, Yusuph Kagoma kuelekea kwenye mchezo wa robo fainali dhidi ya Morocco. Tayari hatua za makundi zimegota mwisho huku timu za Ukanda wa CECAFA zikiwa vinara katika makundi yao. Tanzania kutoka kundi B, Kenya kutoka kundi A na Uganda kutoka kundi…

Read More

MASTAA YANGA SC WAKIMBIZWA KUSAKA PUMZI NA UIMARA

MASTAA wa kikosi cha Yanga SC kinachonolewa na Kocha Mkuu,Romain Folz Agosti 19 2025 walikuwa kwenye mazoezi maalumu katika fukwe za Coco Beach Dar kwa lengo la kusaka pumzi na kuwa imara zaidi. Ikumbukwe kwamba Yanga SC ni mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara ambayo ni namba nne kwa ubora Afrika. Msimu wa 2024/25…

Read More

SIMBA SC KUMTAMBULSHA MSHAMBULIAJI MWALIMU

INAELEZWA kuwa uongozi wa Simba SC umekamilisha usajili wa mshambuliaji wa Wydad Casablanca ya Morocco, Selemani Mwalimu. Nyota huyo anatajwa kuwa muda wowote atajiunga na kikosi cha Simba SC, Misri kwa ajili ya maandalizi ya msimu mpya wa 2025/26. Kikosi cha Simba SC chini ya Kocha Mkuu, Fadlu Davids kinaendelea na maandalizi ya msimu mpya…

Read More

AZAM FC KUANZA KAZI LEO RWANDA

AZAM FC wakiwa nchini Rwanda ambapo wameweka kambi wanatarajiwa kushiriki michuano ya Inkera Y’abahizi baada ya kualikwa na wenyeji wao APR FC na leo Agosti 19 2025 watakuwa na kibarua kuhesabu mechi nne za ushindani. Ipo wazi kwamba Azam FC inapeperusha bendera ya Tanzania kwenye anga la kimataifa ikiwa ni katika Kombe la Shirikisho na…

Read More

SIMBA SC YATANGAZA SIMBA DAY 2025

UONGOZI wa Simba SC umeweka wazi siku mpya ambayo itakuwa ni maalumu kwa utambulisho mpya wa wachezaji wao na benchi la ufundi kuelekea msimu mpya wa 2025/26. Kwa sasa timu hiyo inayonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids imeweka kambi nchini Misri ikiwa ni maandalizi ya msimu mpya. Msimu uliopita katika anga la kimataifa iligotea hatua…

Read More

AZAM FC KWENYE MPANGO MKUBWA MSIMU MPYA

UONGOZI wa Azam FC umeweka wazi kuwa msimu mpya wa 2025/26 watafanya kazi kubwa kuleta ushindani kutokana na uwepo wa wachezaji wenye uwezo mkubwa na uzoefu. Timu hiyo inayonolewa na Kocha Mkuu, Florent Ibenge imeweka kambi nchini Rwanda kwa ajili ya maandalizi ya msimu mpya. Miongoni mwa wachezaji wapya waliopo katika kikosi hicho ni Himid…

Read More

LEONEL ATEBA KUACHWA SIMBA SC

INAELEZWA kuwa kuna uwezekano mkubwa mshambuliaji wa Simba SC inayonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids huenda akaachwa katika kikosi hicho kuelekea msimu mpya. Simba SC inatajwa kuwa kwenye mazungumzo ya kuachana na mshambuliaji huyo raia wa Cameroon, Lionel Ateba kutokana na kutoridhishwa na mwendo wake msimu uliopita. Inaelezwa kuwa mshambuliaji huyo anajiandaa kuondoka kambini Cairo,…

Read More

PORTO, LEEDS, DORTMUND NA BETIS WAKO DIMBANI LEO

Meridianbet inakukaribisha uweze kubashiri mitanange ya leo kwenye mechi zote za ligi mbalimbali zinazoendelea hapa. Leeds, Porto, Kasimpasa na wengine kibao wapo dimbani leo kukupatia ushindi. Bashiri na mabingwa sasa. Tukianza na Ureno kuna mechi moja kali pia ya kubashiri kati ya FC Porto ambao watakuwa ugenini dhidi ya Gil Vicente Barcelos ambao kushinda mechi…

Read More

MOROCCO KUKUTANA NA MOROCCO, KIVUMBI CHAN 2024

TIMU ya Taifa ya Tanzania inayofundishwa na Kocha Mkuu, Hemed Suleman maarufu kwa jina la Morocco itacheza na timu ya taifa ya Morocco kwenye mchezo wa robo fainali CHAN 2024 Uwanja wa Mkapa. Tanzania inaongoza kundi B ikiwa na pointi 10 baada ya mechi nne ambapo katika mechi hizo ilipata ushindi mechi tatu na kugawana…

Read More

MZIZE BADO ANA MKATABA NA YANGA SC

MSHAMBULIAJI namba moja kwa wazawa wenye mabao mengi msimu wa 2024/25 Clement Mzize bado ana mkataba na Yanga SC kuelekea msimu wa 2025/26. Mzize amekuwa akitajwa kuwa katika rada za timu mbalimbali ambapo kuna timu moja kutoka Tunisia inatajwa kuweka dau kubwa mezani kupata saini yake kwa ajili ya changamoto mpya. Rekodi zinaonyesha kuwa msimu…

Read More