
SIMBA YACHEZA DAKIKA 180 BILA KUFUNGA
PABLO Franco ana kazi kubwa ya kufanya kwa sasa ndani ya Simba hasa kwenye safu ya ushambuliaji ambayo imeweza kuyeyusha dakika 180 bila kufunga. Ile safu yenye mshambuliaji bora msimu wa 2020/22 John Bocco ambaye alifunga mabao 16 na pasi mbili mpaka sasa bado inapitia wakati mgumu. Ilianza kunyooshwa bao 1-0 dhidi ya Mbeya City…