
TATIZO LA BOCCO LIMEPATA DAWA
IWAFIKIE mashabiki wa Simba kwamba tatizo la nahodha wa Simba kuwa kwenye kipindi kigumu cha kushindwa kufunga wala kutoa pasi ya bao kwenye ligi kwa msimu wa 2021/22 limepata dawa baada ya mshikaji wake Clatous Chama kurejea. Chama alikuwa na maelewano mazuri na Bocco kabla ya kusepa msimu wa 2021/22 ambapo kwenye pasi mbili ambazo…