KIKOSI CHA YANGA DHIDI YA MBUNI FC

LEO kikosi cha Yanga kinacheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Mbuni FC Uwanja wa Sheikh Amri Abeid kwa ajili ya kujiweka sawa kuelekea mchezo wao dhidi ya Polisi Tanzania.

Hiki hapa kikosi cha kwanza:-

Johora

Boxer

Bryson David

Mukoko

Ibrahim Bacca

Zawad Mauya

Sure Boy

Ambundo

Farid Mussa

Kaseke

Makambo

Benchi

Magaigwa

Job

Balama

Moloko

Ushindi

Feisal

Ngushi