RUVU YAPANIA KUTIBUA REKODI YA YANGA KWA MKAPA
KUELEKEA mchezo wa leo dhidi ya Yanga, Ruvu Shooting wamefunguka kuwa watatibua rekodi ya Yanga ya kutofungwa kwenye mechi walizocheza kwa msimu huu. Saa 12:15 leo Yanga wanatarajiwa kuwa na kazi ya kusaka ushindi mbele ya Ruvu Shooting mchezo ambao unasubiriwa kwa shauku kubwa na mashabiki na wapenda burudani. Kocha Msaidizi wa Ruvu Shooting,Rajab…