BOSI YANGA:TUNAMTAKA YEYOTE, PHIRI ATOA UJUMBE MZITO
WAKATI droo CAF ikipangwa leo, Bosi Yanga:Tunamtaka yeyote yule, Phiri atoa ujumbe mzito Simba, ndani ya Championi Jumatatu
WAKATI droo CAF ikipangwa leo, Bosi Yanga:Tunamtaka yeyote yule, Phiri atoa ujumbe mzito Simba, ndani ya Championi Jumatatu
KAMPENI ya kutetea ubingwa wa Kombe la Azam Sports Federation umeanza kwa ushindi mbele ya Kurugenzi. Ni Yanga ambao ni watetezi wameibuka na ushindi wa mabao 8-0 dhidi ya Kurugenzi kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa Mkapa. Shukrani kwa Clement Mzize ambaye amefung bao la mapema ndani ya Kombe la Shirikisho dakika ya kwanza na aliibuka…
JUMA Mgunda, Kocha Mkuu wa Simba amesema ushindi wao mbele ya Eagle unawapa nguvu ya kuzidi kuimarika kwa mechi zijazo. Ikiwa Uwanja wa Mkapa, Desemba 10, ubao ulisoma Simba 8-0 Eagle na timu hiyo ikatinga hatua ya 32 Kombe la Shirikisho. “Tumekuwa na mwanzo mzuri na hii inatupa nguvu kwa ajili ya mechi zijazo kufanya…
KIKOSI cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi leo Desemba 11 kitakuwa na kazi ya kusaka ushindi kwenye mchezo wa raundi ya Pili Kombe la Shirikisho dhidi ya Kurugenzi. Nabi hatakuwa kwenye benchi kwa kuwa anatumikia adhabu yake ya kufungiwa mechi tatu hivyo ni Cedric Kaze ambaye ni kocha msaidizi atakaa kwenye benchi. Tayari…
OFISA Mtendaji Mkuu wa Simba, Barbara Gonzales, jana Jumamosi alifikia uamuzi wa kujiuzulu nafasi yake hiyo, huku akitoa sababu kuu mbili nzito za kufikia uamuzi huo. Barbara amehudumu kwenye nafasi hiyo kwa kipindi cha miaka miwili tangu Novemba 17, 2020 akichukua nafasi ya Senzo Mbatha. Katika taarifa ambayo aliitoa Barbara, alisema: “Leo (jana Jumamosi) nimeandika…
GLOBAL TV imefanya mahojiano maalum na mchambuzi mkongwe wa soka nchini Saleh Jembe ambaye amefunguka mengi kuhusiana na ishu ya Barbara kujiuzulu na sakata la Mo Dewj kuondoka Simba..
KOCHA Yanga Princess awavaa viongozi Yanga ataja yeye ni kocha mkubwa, zungumzia kocha Simba kuifundisha Yanga
MOROCCO inakuwa timu ya kwanza kutoka bara la Afrika kukata tiketi ya kufuzu hatua ya nusu Fainali kwenye Kombe la Dunia baada ya kupata ushindi mbele ya Timu ya Taifa ya Ureno. Ni ushindi wa bao 1-0 ambao walipata kwenye mchezo huko kupitia kwa mshambuliaji wao Youssef En-Nesyri kwa pigo la kichwa dakika ya 42…
GSM yamalizana na kiungo fundi, mambo mawili yamuondoa Barbara Simba, ndani ya Spoti Xtra Jumapil
MABINGWA watetezi wa Kombe la Dunia Ufaransa wamekata tiketi ya kushiriki hatua ya nusu fainali baada ya ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya England. Mabao ya Aurelien Tchouameni dakika ya 17 na lilela ushindi lilifungwa na Olivier Giroud dakika ya 78. Ni nahodha wa Timu ya Taifa ya England, Harry Kane hakuamini macho yake baada…
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa umefurahia kupata ushindi wa mabao 8-0 dhidi ya Eagle kwenye mchezo wa hatua ya raundi ya Pili Kombe la Azam Sports Federation ikiwa ni mwanzo wa maandalizi ya hatua inayofuata. Ahmed Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano ndani ya Simba amweka wazi kuwa ni kweli Mtendaji wa…
MASHABIKI Yanga waigomea Simba kumsajili Manzoki
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Wallace Karia amewakabidhi Kombe Mabingwa wa 3rd TFF Media Day Bonanza 2022 Uhuru Media na kuweka wazi kuwa wakati ujao kutakuwa na maboresho zaidi. Uhuru Media imepata ushindi huo kwa kuwatungua bao 1-0 Online Media kwenye Bonanza ambalo limefanyika Uwanja wa Gwambina. Moja ya fainali iliyokuwa…
JUMA Mgunda, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa maandalizi kwa ajili ya kuwakabili wapinzani wake Eagle kwenye mchezo wa raundi ya Pili Kombe la Shirikisho yapo tayari. Hawa ni Wajeda wanakabiliana na Simba ambayo iliukosa ubingwa huo mwaka jana 2021 na mabingwa walikuwa ni Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi. Simba haijawa na mwendo…
ISHU ya kiungo Mganda kugomea mkataba Yanga ipo hivi
MCHEZO wa Raundi ya Pili, Azam Sports Federation, Desemba 9,2022 ikiwa ni siku ya kumbukizi ya miaka 61 ya Uhuru wa Tanzania ni mabao 9, Azam FC walipata. Baada ya dakika 90, ubao wa Uwanja wa Azam Complex ulisoma Azam FC 9-0 Malimao FC. Ilikuwa mwendo wamojamoja kwa watupiaji wa Azam FC ikiwa ni pamoja…
MWAMBA Emiliano Martinez kipa wa Timu ya Taifa ya Argentina aliokoa penalti mbili kwenye mchezo wa hatua ya robo fainali. Ni ile iliyopigwa na beki kitasa wa Timu ya Taifa ya Uswisi Virgil van Dijk na Berghuis, jambo lililowapa mlima mzito kuweza kutusua kwenye hatua hiyo. Argentina ya Lionel Messi inatinga hatua ya nusu fainali…