MAKUSU AFUNGUKIA ISHU YAKE KUIBUKIA SIMBA AMA YANGA

MSHAMBULIAJI wa zamani wa AS Vita na Orlando Pirates, Jean Marc Makusu Mundele, ameweka wazi kuvutiwa na timu za Simba na Yanga huku akiweka wazi yupo tayari kujiunga na mojawapo ya timu hizo. Makusu kwa sasa anakipiga DC Motema Pembe ya DR Congo mara baada ya kuwa na maisha magumu ndani ya Orlando Pirates. Akizungumza na Spoti Xtra moja kwa moja kutoka nchini…

Read More

NABI AKABIDHIWA RUNGU LA USAJILI

IKIWA zimebaki sikutatu kabla dirisha dogo la usajili hapa nchini halijafunguliwa, uongozi wa Yanga umefunguka kuwa katika kuhakikisha wanafanikisha mpango wao wa kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara, umejipanga kukiongezea nguvu kikosi hicho kwa kushusha majembe mapya, huku kocha mkuu wa timu hiyo, Nasreddine Nabi akiwa mwamuzi wa mwisho. Dirisha dogo la usajili linatarajiwa kufunguliwa Desemba 15, mwaka huu na kudumu kwa takribani mwezi mmoja. Akizungumza na Spoti Xtra, Mwenyekiti wa Kamati ya Ufundi…

Read More

NABI:HATUKUTUMIA NAFASI AMBAZO TULITENGENEZA

NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa hawakutumia nafasi ambazo walizitengeneza kwenye mchezo wao dhidi ya Simba. Desemba 11, Uwanja wa Mkapa ulikamilika kwa timu mbili za Simba na Yanga kutoshana nguvu bila kufungana. Nabi ameweka wazi kwamba hakukuwa na timu ambayo ilikuwa na uhakika wa kupata ushindi kwenye mchezo huo kwa kuwa ilikuwa…

Read More

IMEISHA HIYO KWA MKAPA, SIMBA 0-0 YANGA

DAKIKA 90 zimekamilika Uwanja wa Mkapa na ngoma kuwa nzito kwa timu zote ambapo zimegawana pointi mojamoja. Mpaka mwamuzi wa kazi Herry Sasii anapuliza filimbi ya mwisho kukamilishwa ngwe ya dakika 90 hakuna mbabe kwenye mchezo wa leo. Yanga inaendelea na rekodi yake ya kucheza mechi ya nane bila kufungwa huku Simba ikiikwama kuivunja rekodi…

Read More

DAKIKA 45,SIMBA 0-0 YANGA

UWANJA wa Mkapa leo Desemba 11 inachezwa Dabi ya Kariakooo ambapo kwa sasa muda ni mapumziko. Mpaka dakika 45 za awali zinameguka ubao wa Uwanja wa Mkapa unasoma Simba 0-0 Yanga. mchezo wa leo ushindani ni mkubwa ambapo timu zote zimekuwa zikipambana kusaka ushindi ila milango ni migumu. Feisal Salum eneo la kati limekuwa mali…

Read More

RASMI KIKOSI CHA SIMBA KITAKACHOANZA DHIDI YA YANGA

PABLO Franco, Kocha Mkuu wa Simba anatarajiwa kukiongoza kikosi chake leo kwenye mchezo wa dabi dhidi ya Yanga. Hiki hapa kikosi chake rasmi ambacho kitaanza Uwanja wa Mkapa:- Aish Manula Shomar Kapombe Hussein Onyango Joash Mkude Jonas Kibu Dennis Kanoute Kagere Morrison Hassan Dilunga   Akiba Kakolanya Israel Kennedy Nyoni Erasto Mzamiru Banda Bocco Bwalya…

Read More

KIKOSI CHA YANGA RASMI KITAKACHOANZA DHIDI YA SIMBA

LEO ni Desemba 11,2021 saa 11:00 jioni mchezo wa ligi kati ya Simba na Yanga unatarajiwa kuchezwa. Hiki hapa kikosi cha Yanga ambacho kinatarajiwa kuanza:- Diarra Djigui Djuma Shaban Dickson Job Kibwana Shomari Bakari Mwamnyeto Jesus Moloko Bangala Yannick Aucho Khalid Feisal Salum Fiston Mayele Said Ntibanzokiza Akiba Johora Yassin Bryson Mauya Makambo Kaseke Yusuf…

Read More

KOCHA:SIMBA ITAFUNGWA NA YANGA

KOCHA Mkuu wa RS Berkane ya Morocco, Florent Ibenge, ameitabiria Yanga kuondoka na ushindi mbele ya Simba katika mchezo wa dabi ya Kariakoo utakaochezwa leo Jumamosi katika Uwanja wa Mkapa,Dar. Ibenge ambaye aliwahi kuwa Kocha Mkuu wa AS Vita na timu ya taifa ya DR Congo, analifahamu vyema soka laTanzania akiwa amewahi kukutana na Simba na Taifa Stars. Kocha huyo ndiye anayewafundisha viungo wa zamani wa timu hizo, Clatous Chama na…

Read More

YANGA YAWASHUSHA PRESHA MASHABIKI

MTENDAJI Mkuu wa Yanga, Senzo Mbatha, amewashusha presha mashabiki wa timu hiyo kuelekea kwenyemchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Simba unaotarajiwa kuchezwa leo Jumamosi, Uwanja wa Mkapa huku akiweka bayana wataibuka na pointi tatu. Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi ina kibarua cha kusaka ushindi kwenye mchezo wa KariakooDabi ukiwa mchezo wa kwanza kukutana kwa msimu huu kwenye ligi. “Hakuna sababu ya kuwa na presha unajua mchezo wetu…

Read More

ALIYEWATUNGUA YANGA HAYUPO LEO

KUELEKEA kwenye mchezo wa Kariakoo, Dabi ambao unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa leo,Desemba 11,2021 yule aliyewatungua Yanga hayupo kabisa kwenye mipango ya kocha. Kocha Mkuu wa Simba, Pablo Franco atakuwa na kibarua cha kusaka pointi tatu muhimu mbele ya Yanga huku akiwa na wachezaji wengine kabisa na atakosa huduma ya nyota wake anayeshikilia rekodi ya…

Read More

MWAMUZI WA SIMBA V YANGA LAZIMA JITU LIPIGWE

PILATO wa mchezo wa Desemba 11 ambao ni mchezo wa Kariakoo Dabi kati ya Simba v Yanga ni kiboko kwa kuwa kwenye mechi zote ambazo alihusika kwenye orodha ya waamuzi ilikuwa ni lazima jitu lipasuke. Kwa msimu wa 2021/22, Elly Sasii ambaye ameteuliwa kuwa mwamuzi wa kati ameweza kuwa kwenye orodha za waamuzi katika mechi…

Read More