VIZINGITI VYA MABAO SIMBA V YANGA

KUMEPOA mtaani kama hakuna kilichotokea vile baada ya dakika 90, Uwanja wa Mkapa kusoma Simba 0-0 Yanga na kufanya asiwepo mbabe. Hapa tunakuletea vizingiti vilivyosababisha mambo kuwa hivyo namna hii:- Manula Aliokoa hatari dk ya tano shuti la Jesus Moloko pia aliweza kuwa kizingiti kwa Moloko dk ya 49, dk ya 58 aliokoa hatari ya…

Read More

SIMBA:HAPA KAZI TU

UONGOZI wa Simba umeweka wazi kwamba wao kipaumbele chao namba moja ni kazi tu uwanjani ili kupata matokeo chanya na hawana muda wa kushindana na wale wanaoongeaongea. Mwenyekiti wa Simba, Murtaza Mangungu amesema kuwa wapo kwenye ligi kwa malengo makubwa ya kuweza kutetea ubingwa waliotwaa msimu uliopita na hilo linawezekana. “Sisi hapa kwetu ni kazi…

Read More

YANGA YAINGIA CHIMBO KUMTAFUTA MSHAMBULIAJI

UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa kwa sasa upo kwenye hesabu za kumsaka mbadala wa mshambuliaji wao Yacouba Songne ambaye anatarajiwa kuwa nje kwa msimu mzima wa 2021/22. Songne aliumia mguu kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Ruvu Shooting,Novemba 2,2021 kwa sasa bado anapewa matibabu ili aweze kurejea kwenye hali yake ya kawaida….

Read More

PABLO:HATUKUPOTEZA MUDA KWA MKAPA

PABLO Franco, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa walicheza mpira mbele ya Yanga na hawakutumia muda mwingi kupoteza muda kwa kujiangusha ama kulala uwanjani. Ilikuwa ni dabi ya kwanza kwa Franco, Desemba 11, Uwanja wa Mkapa na aliweza kugawana pointi mojamoja na watani zake wa jadi baada ya dakika 90 ubao  wa Uwanja wa Mkapa…

Read More

MABINGWA WA KOMBE LA FA SIMBA KAZINI LEO

MABINGWA watetezi wa Kombe la Shirikisho, Simba leo Desemba 14 wanatarajiwa kushuka Uwanja wa Mkapa kusaka ushindi kwenye mchezo wa raundi ya tatu ya kombe hilo. Ikiwa inanolewa na Kocha Mkuu, Pablo Franco itakuwa na kibarua cha kusaka ushindi mbele ya JKT Tanzania inayoshiriki Ligi Daraja la Kwanza ambayo kwa sasa inaitwa Championship. Mchezo huo…

Read More

MCHONGO UPO NDANI YA WILD ICY FRUITS

Reels zinazozidisha ushindi mara 2.000! Wild Icy Fruits ni mchezo rahisi unaopatikana kwenye sloti ya mtandaoni, una reels 5, safu 4 na mistari 40 ya malipo. Muonekano wa sehemu zilizoganda ukikinzana na milima iliyofunikwa kwa barafu, inakamilisha mandhari ya baridi. Matikiti na machungwa yanaongeza utamu wa mchezo, kengele za dhahabu na mgando wa lucky 7…

Read More

KOCHA AZAM FC ATAJWA KUFUTWA KAZI

UONGOZI wa klabu ya Azam FC umesitisha mkataba wa Kocha kutoka nchini Zambia George Lwandamina na Msaidizi wake kutoka Burundi Vivier Bahati, kutokana na mwenendo mbaya wa kikosi chao kwenye Mshime Mshike wa Ligi Kuu Tanzania Bara.   Azam FC jana Jumapili (Desemba 12) ikicheza nyumbani Azam Complex Chamazi, iliambulia sare ya bila kufungana dhidi…

Read More

DROO KURUDIWA 16 LIGI YA MABINGWA ULAYA

KIWA ni saa chache baada ya droo ya kupanga michezo ya hatua ya 16 Bora ya Ligi ya Mabingwa Barani Ulaya kufanyika, hatimaye droo hiyo imefutwa na kutangazwa kurudiwa. Hii inakuja baada ya kutokea kwa tatizo la mfumo unaochezesha droo hiyo na baadhi ya vilabu kulalamikia tatizo hilo. Awali tatizo lilianza kuonekana pale ambapo Klabu…

Read More

MO KUTOA BILIONI 2 UJEZI WA UWANJA MPYA

MOHAMED Dewji ambaye ni mfanyabiashara na Rais wa Heshima ndani ya Simba  ameahidi kuchangia shilingi za Kitanzania bilioni 2 kwa ajili ya ujenzi wa Uwanja wa Klabu ya Simba. Mo amesema kuwa ameweza kupokea maoni ya watu wengi ambao ni wadau wa mpira pamoja na mashabiki wa Simba ambao wameweka wazi kwamba wapo tayari kuchangia…

Read More

NABI AKUBALI MUZIKI WA AISHI MANULA

NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa mikono ya kipa namba moja wa Simba, Aishi Manula iliwazuia kupata ushindi kwenye mchezo wao wa ligi. Juzi, Uwanja wa Mkapa, Yanga ilikuwa na kazi ya kusaka ushindi mbele ya Simba lakini ubao wa ulisoma Simba 0-0 Yanga na kufanya timu hizo kugawana pointi mojamoja. Nabi amesema…

Read More

DUBE AREJEA,WAAMBULIA POINTI MOJA

NYOTA wa Azam FC, Prince Dube tayari amerejea kikosi cha kwanza na kuanza kuonyesha makeke yake ndani ya kikosi cha Azam FC kinachonolewa na Kocha Mkuu, George Lwandamina. Kwenye mchezo wake wa kwanza mbele ya Kagera Sugar uliochezwa Uwanja wa Azam Complex alishuhudia timu ya Azam FC ikigawana pointi mojamoja na Kagera Sugar baada ya…

Read More