
KOMBE LA DUNIA NDANI YA TANZANIA
KOMBE la Dunia kwa sasa lipo kwenye ardhi ya Tanzania, Dar ndipo linapatikana kwa sasa. Hii ni desturi ya Shirikisho la Soka la Kimataifa, (Fifa) huwa wanakuwa na desturi ya kulitembeza Kombe la Dunia ambalo kwa mwaka 2022 linatarajiwa kuanza Novemba 21 hadi Desemba 18 huko Qatar. Jana Mei 31 Rais wa Tanzania, Samia Hassan Suluhu,…