
PABLO AKIRI KUWA YANGA NI WAGUMU
PABLO Franco, Kocha Mkuu wa Simba amesema wanajua mechi ya leo nusu fainali Kombe la Shirikisho itakuwa ngumu ila watajitahidi kutafuta ushindi mbele ya Yanga Simba ina kazi ya kusaka ushindi mbele ya Yanga kwenye mchezo unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa CCM Kirumba. Kocha Pablo ameweka wazi kwamba maandalizi ambayo wameyafanya yanawapa nafasi ya kuweza kupata…