
LIGI KUU BARA RATIBA
LIGI Kuu Bara inaendelea leo Mei 16 ikiwa ni mzunguko wa pili wa lala salama kwa timu kuwa kwenye msako wa pointi tatu muhimu uwanjani. Ruvu Shooting yenye pointi 25 inatarajiwa kusaka ushindi mbele ya KMC yenye pointi 27 kibindoni. Tanzania Prisons yenye pointi 23 ina kibarua mbele ya Kagera Sugar yenye pointi 29 kibindoni….