Home International LIVERPOOL MABINGWA MBELE YA CHELSEA FA

LIVERPOOL MABINGWA MBELE YA CHELSEA FA

LIVERPOOL inayonolewa na Kocha Mkuu, Jurgen Klopp imeweza kushinda taji la FA kwenye mchezo uliokuwa na mvutano mkubwa mwanzo mwisho.

Ubao wa Uwanja wa Wembley baada ya dk  90 kukamilika ulisoma 0-0, zikaongezwa 30 ambazo nazo zilimalizika kwa matiokeo hayohayo.

Liverpool wamelinyakua kombe hilo ikiwa ni mara ya pili mfululizo baada ya kulinyakua tena katika msimu uliopita.

Ushindi wa penalti 6-5 umewafanya waweze kutwaa taji hilo ikiwa ni furaha kwa mashabiki wa Liverpool.

Previous articleSIMBA YATINGA NUSU FAINALI KOMBE LA SHIRIKISHO
Next articleVIDEO:MTAZAME MORRISON UWANJA WA MKAPA NA MASHABIKI WAKE