BERNARD Morrison kiungo wa Simba ambaye amepewa mapumziko mpaka msimu wa 2021/22 utakapokamilika ili akamilishe masuala yake ya kifamilia leo alikuwepo Uwanja wa Mkapa kushuhudia wachezaji wenzake wakipambana mbele ya Pamba katika mchezo wa Kombe la Shirikisho hatua ya robo fainali.
Mchezo huu Simba ilishinda mabao 4-0 na inakwenda hatua ya nusu fainali kukutana na Yanga ambayo ilitangulia kwa ushindi mbele ya Geita Gold.
Morrison alijiunga na Simba akitokea Yanga kwa dili la miaka miwili.
Soccer Football - International Friendly - Spain v Brazil - Santiago Bernabeu, Madrid, Spain - March 26, 2024 Spain's Rodri scores their third goal from the penalty spot REUTERS/Violeta Santos Moura