Home Sports HII HAPA RATIBA YA LIGI KUU BARA

HII HAPA RATIBA YA LIGI KUU BARA

MOTO wa Ligi Kuu Tanzania Bara inaendelea leo kwa timu kusaka ushindi ndani ya uwanja ikiwa ni mzunguko wa pili.

Mbeya City watakuwa na kazi ya kuikabili Polisi Tanzania, Uwanja wa Sokoine.

Mtibwa Sugar watakuwa na kibarua mbele ya Coastal Union, Uwanja wa Manungu.

Dodoma Jiji itamenyana na Yanga, Uwanja wa Jamhuri

Previous articleDODOMA JIJI KAZINI LEO KUWAKABILI VINARA WA LIGI
Next articleSAUTI:MAYELE ATANGAZA HALI NYINGINE,APANIA KUFUNGA