Home Uncategorized SAUTI:MAYELE ATANGAZA HALI NYINGINE,APANIA KUFUNGA

SAUTI:MAYELE ATANGAZA HALI NYINGINE,APANIA KUFUNGA

UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kwamba mshambuliaji wao Fiston Mayele kwa sasa hesabu zake ni kuweza kufunga mabao zaidi baada ya kukosa penalti mbele ya Tanzania Prisons.

Ilikuwa Mei 9,2022 Uwanja wa Mkapa Mayele aliweza kukosa penalti hiyo kwenye mchezo wa ligi na ni penalti ya kwanza kwa Yanga kukosa.

Fredrick Mwakalebela, Makamu Mwenyekiti wa Yanga amesema kuwa hilo limepita na Mayele anahitaji kufunga mabao mengi zaidi.

Previous articleHII HAPA RATIBA YA LIGI KUU BARA
Next articleMASTAA YANGA WAFUNGUKIA KUTOPENDA SARE