Home Sports LIGI KUU BARA RATIBA

LIGI KUU BARA RATIBA

LIGI Kuu Bara inaendelea leo Mei 16 ikiwa ni mzunguko wa pili wa lala salama kwa timu kuwa kwenye msako wa pointi tatu muhimu uwanjani.

Ruvu Shooting yenye pointi 25 inatarajiwa kusaka ushindi mbele ya KMC yenye pointi 27 kibindoni.

Tanzania Prisons yenye pointi 23 ina kibarua mbele ya Kagera Sugar yenye pointi 29 kibindoni.

Kinara wa Ligi Kuu Bara ni Yanga ambaye jana alishinda mabao 2-0 dhidi ya Dodoma Jiji kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa Jamhuri,Dodoma akiwa na pointi 60.

Previous articleJOHN BOCCO KWENYE KIBARUA KIGUMU SIMBA
Next articleMAYELE:MABEKI WANATAKA NISIFUNGE