
SIMBA YABAKISHA DAKIKA 90 KUKUTANA NA YANGA
PABLO Franco,Kocha Mkuu wa Simba kwa sasa ana dakika 90 za kuweza kuamua kama ataweza kukutana na Yanga kwenye mchezo wa hatua ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho. Baada ya kukamilisha kete yake mbele ya Kagera Sugar,Mei 11 na kushinda mabao 2-0 sasa kituo kinachofuata ni mbele ya Pamba mchezo wa Kombe la Shirikisho….