
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATANO
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Jumatano
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Jumatano
KIBWANA Shomari, beki wa kikosi cha Yanga ambaye aliwapa tabu watani zao wa jadi Simba mechi zote mbili msimu huu kwenye ligi ameongeza mkataba wa miaka miwili kuendelea kuitumikia timu hiyo. Kwenye mchezo wa mzunguko wa kwanza, Kibwana alikula sahani moja na Bernard Morrison ambaye alikwama kuifunga Yanga na mchezo wa pili alipopewa Pape Sakho…
MTENDAJI Mkuu wa Borussia Dortmund, Sebastian Kehl, amefunguka kuwa dili na hatma ya Erling Haaland itajulikana wiki ijayo. Haaland amekuwa akihusishwa kujiunga na timu tofauti za Ulaya, ingawa Manchester City ikionekana kuwa katika nafasi nzuri ya kumsajili. Staa huyo amekuwa kwenye kiwango bora tangu atue Dortmund, Januari 2020 akitokea RB Salzburg ya Austria. Mwezi uliopita…
STAA mkongwe wa soka, David Beckham amesema anatamani kuona staa wa Manchester United, Cristiano Ronaldo anasalia kikosini hapo kwani ni mchezaji muhimu. Hii ni baada ya kuwepo tetesi kuwa huenda Ronaldo akatimka kikosini hapo, baada ya Man United kushindwa kufuzu kucheza Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu ujao, licha ya kuwa na mkataba wa mwaka mmoja…
BAADA ya tetesi nyingi kuzagaa kuhusishwa kusaini mkataba Yanga, mshambuliaji wa Geita Gold, George Mpole ametoa sharti moja kubwa kwa timu hiyo. Mpole ni kati ya wachezaji wanaohusishwa kutua Yanga kuelekea msimu ujao ambapo timu hiyo ina uhakika wa kushiriki michuano ya kimataifa inayosimamiwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF). Mshambuliaji huyo hivi sasa yupo…
BUBERWA Birikes, Kocha Msaidizi wa Kagera Sugar amesema kuwa watafanya kazi kubwa kupata ushindi mbele ya Simba kesho kwenye mchezo wa ligi. Kesho Mei 11, Kagera Sugar ina kazi ya kusaka pointi tatu mbele ya Simba kwenye mchezo unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa. Akizungumza na Saleh Jembe,Birikes amesema kuwa wanatambua mchezo wao dhidi ya Simba…
PABLO Franco, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Kagera Sugar unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa. Ni mchezo wa mzunguko wa pili kwa Pablo mbele ya Kagera Sugar inayonolewa na Kocha Mkuu, Francis Baraza. Akizungumza na Saleh Jembe, Pablo amesema kuwa wanatambua kwamba ligi…
HATIMAYE Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kampuni ya Michezo ya Kubashiri ya SportPesa Tanzania, Tarimba Abbas, amemkabidhi Mtendaji Mkuu wa Klabu ya Simba, Barbara Gonzalez, hundi ya Shilingi milioni 50 kama bonansi baada ya kufanikiwa kuingia katika hatua ya Robo Fainali ya Michuano ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika. Makabidhiano hayo yamefanyika Makao Makuu…
HAJI Manara, Ofisa Habari wa Yanga amesema kuwa bado wana nafasi ya kufanya vizuri kwenye mechi zijazo za ligi. Manara amesema kuwa kushindwa kupata matokeo kwenye mechi zilizopita haina maana kwamba hawatakuwa imara Yanga ni vinara wa ligi wanawania kutwaa Kombe la Ligi la 28 kwa kuwa wanayo 27 mpaka muda huu. Jana walilazimisha sare…
MSHAMBULIAJI bora wa msimu wa 2020/21,John Bocco amefunga bao la kwanza kwenye ligi baada ya kuyeyusha jumla ya siku 294 bila kufunga. Ikumbukwe kwamba mara ya mwisho kwa Bocco kufunga ilikuwa Julai 18,2021 alipofunga bao lake la 16 mbele ya Namungo FC Uwanja wa Mkapa na kuibuka kuwa mfungaji bora. Msimu wa 2021/22 ilikuwa ngumu…
LALA salama huwa inakuwa na mambo mengi hasa kwa wachezaji kupambana kuweza kufikia malengo yao ambayo walikuwa wamejiwekea tangu mwanzo wa msimu. Hapa unaona wazi kwamba sio kwenye Ligi Kuu Bara pekee bali hata kwenye Ligi ya Wanawake na Championship huku mambo yanazidi kuwa ni moto. Hata kwenye Ligi ya Soka la Ufukweni pia mambo…
HITIMANA Thiery, Kocha Mkuu wa KMC amesema kuwa mbinu zao zilefeli kwenye mchezo wa ligi dhidi ya Azam FC ubao uliposoma Azam FC 2-1 KMC. Ni mabao ya Rodgers Kola ambaye alitupia mawili kwa Azam FC dk ya 1 na 36 na kufikisha mabao 7 kwenye ligi huku kwa KMC bao likifungwa na Miraj Athuman…
Mei 8 kila mwaka, huwa ni siku maalumu ya kusherehekea maisha ya kinamama kote duniani. Hawa ni watu muhimu kwenye uzazi, malezi, ustawi na maendeleo ya jamii zetu. Neno mama ni neno fupi lakini, lina maana kubwa kwenye maisha ya mwanadamu. Kwa kutambua umuhimu wa kinamama, Meridianbet iliamua kusheherekea pamoja nao. Ni desturi ya…
MSHAMBULIAJI wa Klabu ya Borussia Dortmund raia wa Norway Erling Braut Haaland amefuzu vipimo vya afya tayari kujiunga na klabu Ligi Kuu ya Uingereza Manchester City. Haaland amefanyiwa vipimo hivyo nchini Ubelgiji na kwa mujibu wa taarifa ni kwamba mshambuliaji huyo tayari amesharejea kwenye kikosi cha Dortmund. Haaland anatarajiwa kupokea mshahara wa Paundi 375,000 kwa…
VINARA wa Ligi Kuu Bara, Yanga chini ya Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi wamekwama kusepa na pointi tatu mbele ya Tanzania Prisons kwenye mchezo uliokuwa na ushindani mkubwa. Hata Prisons nao wamekwama kupata pointi tatu zaidi ya kuambulia pointi moja wakiwa kwenye hatari ya kushuka daraja. Kwenye msimamo Prisons ipo nafasi ya 14 na pointi 23…
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Spoti Xtra Jumanne
SELEMAN Matola,Kocha Msaidizi wa Simba amesema kuwa wamekuwa kwenye mwendo usiofurahisha kwenye mechi tatu mfululizo jambo wanalolifanyia kazi. Kwenye mechi hizo tatu za ligi ambazo ni dakika 270 katika msako wa pointi 9 waliambulia pointi tatu pekee na kuacha mazima pointi 6 ambazo ni mateso kwao huku wakifungwa mabao mawili sawa na yale ambayo walifunga….