
CHAMPIONSHIP KITAWAKA LEO
JKT Tanzania leo itakuwa na kibarua cha kusaka pointi tatu mbele ya Ihefu kwenye mchezo wa Championship unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Highland Estate. Kwenye msimamo JKT Tanzania inashika nafasi ya nne kwenye msimamo ikiwa imekusanya pointi 47 kwenye michezo 27. Ihefu ipo nafasi ya pili ikiwa na pointi 59 na imecheza pia michezo 27 ndani…