
RASMI: CHELSEA YAUZWA KWA MMILIKI MPYA, MWISHO WA ENZI ZA ROMAN ABRAMOVICH
Klabu ya Chelsea ya Uingereza imeuzwa rasmi kwa mmiliki mpya na hivyo kufikisha mwisho wa enzi za utawala wa bilionea wa Kirusi Roman Abramovich. Kupitia tovuti ya klabu hiyo imeandika: Klabu ya Chelsea inaweza kuthibitisha kuwa imefikia makubaliano ya uuzwaji wa klabu hii kwa mmiliki mpya, Kundi likiongozwa na Todd Boehly, Clearlake Capital, Mark Walter…