
PABLO ATAJA SABABU YA KUSHIDWA KUWA KWENYE MWENDO BORA
KOCHA Mkuu wa Simba, Pablo Franco amesema kuwa mchawi mkubwa wa timu hiyo kushindwa kufanya vyema kwenye michezo mikubwa inatokana na kikosi hicho kutokuwa na wachezaji wenye viwango bora mfululizo jambo ambalo limechangia kushindwa kufanya vyema. Simba mpaka sasa imebaki na matumaini ya kufanya vyema katika michuano ya Kombe la Shirikisho la Azam, huku wakitolewa…