
REKODI ZA MASTAA WA YANGA V SIMBA,KIKOSI KAMILI
ULE utundu wa kutamba sasa unakaribia lakini kwa jeshi hili la Yanga na Simba, Aprili 30 unadhani nini kitatokea? Ngoma inatarajiwa kupigwa kwa watani hawa wa jadi ambapo vinara wa ligi ni Yanga wenye pointi 54 na mabao 35 na Simba wao wana pointi 41 na safu ya ushambuliaji imefunga mabao 23. Hapa tunakuletea jeshi…