
INONGA APEWA KAZI NYINGINE
BEKI wa kazi chafu ndani ya kikosi cha Simba, Henock Inonga amebebeshwa zigo jipya la kazi ndani ya kikosi hicho na benchi la ufundi chini ya Kocha Mkuu,Pablo Franco. Jukumu hilo jipya kwa sasa ni lile la kuweza kuichezesha timu na kugawa mipira kwa wachezaji wenzake kwenye mechi ambazo anacheza huku akiwa na kazi ya…