
MBWANA MAKATA,MENEJA WA MBEYA KWANZA WAFUNGIWA
KOCHA wa Mbeya Kwanza, Mbwana Makata na Meneja wa timu hiyo, David Naftali, wamefungiwa kwa kipindi cha miaka mitano (5) kila mmoja kwa kosa la kushawishi/kuamuru wachezaji wasiingie uwanjani kuanza mchezo, Tukio hilo lililosababisha Mechi Namba 180 ya Ligi Kuu Bara Namungo vs Mbeya Kwanza usichezwe lilitokea kwenye Uwanja wa Ilulu, Lindi. Taarifa iliyotolewa na…