
PAMBA YATAKA KUITIBULIA SIMBA
KOCHA Msaidizi wa Pamba, Yangoo Mamboleo amesema kuwa wanatambua mchezo wa leo utakuwa mgumu lakini wataingia kwa tahadhari ili kuweza kushinda. Pamba itakuwa na kibarua cha kusaka ushindi mbele ya Simba ambao nao wanahitaji ushindi kwenye mchezo huo amao unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa. “Tupo tayari kwa ajili ya mchezo wetu na tunatambua kwamba ushindani…