SIMBA YANYOOSHWA NA WAGONGA NYUNDO

UWANJA wa Sokoine, Mbeya City wameinyoosha Simba kwa bao 1-0 lililopachikwa na Paul Nonga mapema kipindi cha kwanza. Haikuwa rahisi kwa Simba kuweza kumtungua kipa namba moja wa Mbeya City, Deogratius Munish ambaye alikuwa kwenye ubora wake mwanzo mwisho. Huu unakuwa ni mchezo wa kwanza kwa Simba kupoteza ndani ya Ligi Kuu Bara kwa msimu…

Read More

UWANJA WA SOKOINE, MBEYA CITY 1-0 SIMBA

MPAKA muda wa mapumziko, Uwanja wa Sokoine Simba wanatafuta bao la kusawazisha. Ni Paul Nonga amepachika bao la kuongoza kwa Mbeya City akitumia makosa ya mabeki wa Simba chini ya Inonga Banka. Lakinj Mbeya City wamekamilisha dakika 45 wakiwa pungufu kwa sababu nyota wao Mpoki Mwakinyuke alionyeshwa kadi nyekundu dakika ya 43. Sababu ya kwanza…

Read More

HIZI HAPA KUKUTANA KWENYE HATUA YA 32 BORA

LEO Januari 17 imepangwa droo ya Azam Sports Federation Cup, (ASFC) ikiwa ni hatua ya 32 bora kwenye mashindano haya. Simba ambao ni mabingwa watetezi waakuwa na kazi ya kusaka ushindi mbele ya Dar City kwenye mchezo unaoatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa. Yanga wao watacheza na Mbao FC mchezo huo nao utachezwa pia Uwanja wa…

Read More

HAJI MANARA:TUKAE WIKI TANGA TUFUNGWE?

HAJI Manara, Ofisa Habari wa Yanga ameweka wazi kuwa isingekuwa rahisi kwa Yanga kufungwa kwenye mchezo wao wa jana kwa kuwa walijipanga kushinda na walitumia muda mwingi wakiwa Tanga. Januari 16 ubao wa Uwanja wa Mkwakwani ulisoma Coastal Union 0-2 Yanga na kuwafanua waweze kusepa na pointi tatu mazima ambapo mabao yalifungwa na Said Ntibanzokiza…

Read More

SUALA LA SIMBA KUMSAJILI MNIGERIA PICHA LIPO HIVI

KIUNGO Mnigeria, Udoh Etop David, amethibitisha kwamba, hajafanikiwa kupata mkataba wa kuitumikia Simba baada ya kufanya majaribio kwa takribani wiki moja. Udoh akiwa kwenye majaribio hayo, alifanikiwa kucheza mechi mbili za Kombe la Mapinduzi, lakini ameshindwa kumshawishi Kocha Pablo Franco. kiungo huyo mkabaji, amesema licha ya kutarajia kupewa mkataba na timu hiyo, lakini hajafanikiwa na kwa sasa kitu ambacho anatarajia ni mipango ya safari yake kutoka Tanzania kurudi kwao Nigeria. “Maisha ya Tanzania ni mazuri na…

Read More

MKWAKWANI,DAKIKA 45,COASTAL UNION 0-1 YANGA

UWANJA wa Mkwakwani Januari 16 mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Coastal Union na Yanga ni mapumziko. Yanga inakwenda vyumbani ikiwa inaongoza kwa bao 1-0 katika dakika 45 za mwanzo. Ni bao la Fiston Mayele anamtungua Mussa Mbissa dakika ya 40 akiwa ndani ya 18. Coastal Union wanacheza mpira huku Yanga wakiwa katika mbinu…

Read More

CHAMA HESABU ZAKE NI MAKOMBE

CLATOUS Chama, nyota wa Simba amesema kuwa ni furaha kwame kurejea ndani ya timu hiyo. Chama aliibuka ndani ya RS Berkane msimu wa 2021/22 akitokea Klabu ya Simba na amerejea tena nyumbani. Ni usajili wa kwanza katika dirisha dogo na anatarajiwa kuwa kwenye kikosi cha kesho kitakachomenyana na Mbeya City Uwanja wa Sokoine. Nyota huyo…

Read More

KOCHA SIMBA AIBUKIA YANGA

MILTON Nienov aliyekuwa kocha wa makipa ndani ya Simba kabla ya kuchimbishwa leo Januari 16 ametambulishwa ndani ya Yanga. Nienov anakwenda kuchukua mikoba ya Razack Siwa ambaye anainoa timu hiyo kwa sasa. Kocha huyo raia wa Brazil aliweka wazi kuwa anaipenda Tanzania kutokana na ukarimu pamoja na mazingira mazuri. Alikuwa akimnoa Aishi Manula na sasa…

Read More

BREAKING:YANGA YAMALIZANA NA KIUNGO WA KAZI

Chico Ushindi ni Mwananchi baada ya kutambulishwa rasmi leo kuwa ndani ya kikosi hicho. Kiungo huyo mshambuliaji alikuwa anakipiga ndani ya kikosi cha TP Mazembe. Ametambulishwa rasmi leo Januari 16,2022 ambapo timu ya Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu Nasreddine Nabi raia wa Tunisia. Anaungana na wachezaji wengine ambao ni Salim Aboubakhari, Aboutwalib Mshery na Dennis…

Read More

SIMBA WAMFANYIA HAYA KIUNGO CHAMA

UKISIKIA watu wanakwambia Simba wamefanya kufuru, basi amini kwamba ufanikishaji wa kuipata saini ya kiungoMzambia, Clatous Chama imetumika gharama kubwa sana. Chama ambaye amerejea Simba na kusaini mkataba wa miaka miwili, aliondoka kikosini hapo Agosti 2021, baada ya kuisaidia kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara mara tatu mfululizo kuanzia msimu wa 2018/19 hadi 2020/21na kutua RS Berkane ya Morocco. Pia Chama alikuwepo kwenye kikosi cha Simba kilichocheza hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika…

Read More

MSUVA APANDIWA DAU NA YANGA ,SIMBA

WAKATI dirisha dogo la usajili hapa nchini likifungwa usiku wa kuamkia leo Jumapili, kulikuwa na mchuano mkali kwa timu za Simba na Yanga kwa ajili ya kupata saini ya kiungo mshambuliaji wa Wydad Casablanca ya Morocco, Mtanzania, Simon Msuva. Msuva aliondoka Yanga, Julai 29, 2017, akiwa ameisaidia kuvuna mataji matatu mfululizo ya Ligi Kuu Bara na kutua Difaa El Jadida ya Morocco, kisha Novemba 10, 2020, akajiunga na Wydad. Habari zimeeleza kwamba,…

Read More

MKUDE ANA DENI KISA TUZO

KIUNGO wa Simba, Jonas Mkude, amefunguka kuwa kuchaguliwa kwake kuwa Mchezaji Bora wa Simba kwa mwezi Desemba, kumempa motisha ya kuendelea kupambana na kuendelea kuwa mchezaji muhimu ndani ya timu hiyo. Mkude alisema tuzo hiyo ni kama deni kwa mashabiki ambao wamemchagua hivyo anatakiwa kuendelea kufanya kazi zaidi ili asiwaangushe wale ambao waliona kuwa alifanya…

Read More