
SIMBA YABAINISHA SABABU ZA KUMCHIMBISHA PABLO
MABOSI Simba wameweka wazi kwamba kushindwa kutimiza yale aliyosaini kwenye mkataba ni sababu iliyofanya kufutwa kazi kwa Pablo Franco aliyekuwa Kocha Mkuu wa Simba. Mei 31,Simba kupitia kwa Mtendaji Mkuu, Barbara Gonzalez waliweka wazi kwamba wamefikia makubaliano ya kuachana na Pablo kwenye nafasi hiyo na timu kwa sasa ipo chini ya Seleman Matola ambaye ni…