
SIMBA YAFUNGUKIA KUHUSU KUMSAJILI SAIDO WA YANGA
BAADA tetesi nyingi kuzagaa za kiungo Mrundi, Saidi Ntibanzokiza ‘Saido’ kutua Simba, uongozi wa timu hiyo umeibuka na kutamka hauna mpango wa kumsajili. Hiyo ikiwa ni siku chache tangu Yanga itangaze kutomuongezea mkataba kiungo uliomalizika Juni 30, mwaka huu. Mmoja wa mabosi wa Simba, amesema kuwa, ngumu kwao kumsajili mchezaji ambaye ameachwa na timu yake…