
MAN CITY KUMNG’OA SAKA ARSENAL
Manchester, England MABINGWA wa Ligi Kuu England, Manchester City wametajwa kuwa wanafuatilia kwa karibu mustakabali wa staa wa Arsenal, Bukayo Saka katika kipindi cha miaka miwili ya mwisho ya mkataba wake ili kuona uwezekano wa kumng’oa mchezaji huyo kutoka Emirates. Inaelezwa kuwa City pamoja na wapinzani wao wakubwa Liverpool wote wanamtazama staa huyo wa Arsenal…