VICTOR GYÖKERES KUJIUNGA NA ARSENAL

Klabu ya Arsenal imefikia makubaliano na Sporting Lisbon kuhusu usajili wa mshambuliaji raia wa Sweden, Victor Gyökeres, kwa ada ya uhamisho inayokadiriwa kufikia €63.5 milioni pamoja na nyongeza ya hadi €10 milioni kulingana na mafanikio mbalimbali. Gyökeres (27) anatarajiwa kusaini mkataba wa miaka mitano ambao utamweka Emirates hadi Juni 2030. Mshambuliaji huyo aliyeng’ara msimu uliopita…

Read More

YANGA SC YAMALIZANA NA MUDATHIR YAHYA

MABINGWA wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2024/25, Yanga SC chini ya Kocha Mkuu, Miloud Hamdi wamekamilisha dili lao na kiungo kiraka Mudathir Yahya. Mudathir Yahya mkataba wake ulikuwa umeisha mara baada ya msimu kufika ukingoni alikuwa kwenye mazungumzo na mabosi wa timu hiyo kuhusu kuongeza mkataba wake. Ilikuwa inatajwa kuwa kiungo huyo alikuwa…

Read More

MUDATHIR YAHYA ASAINI MKATABA MPYA NA YANGA SC MPAKA 2027

Klabu ya Yanga Sc imethibitisha kiungo Mudathir Yahya amesaini nyongeza ya mkataba mpya wa miaka miwili utakaombakisha klabuni hapo mpaka Juni 2027. Mkataba wa awali wa Mudathir aliyejiunga na Wananchi mnamo Januari 2023 akitokea Azam Fc ulitamatika mwishoni mwa msimu uliomalizika lakini sasa amemwaga wino wa kuendelea kuitisha simu mitaa ya Jangwani kwa misimu miwili…

Read More

HUYU HAPA KAPEWA MAJUKUMU YA USAJILI SIMBA SC

WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika, Simba SC msimu wa 2025/26 wameweka wazi kuwa mpango kazi wa kufanya usajili upo chini ya Kocha Mkuu, Fadlu Davids. Ikumbukwe kwamba msimu wa 2023/24 Simba SC iligotea nafasi ya tatu kwenye msimamo ikapeperusha bendera kwenye Kombe la Shirikisho Afrika. Kwa msimu wa 2024/25 iligotea kuwa mshindi…

Read More

YANGA SC YAINGIA CHIMBO KUSHUSHA MSHAMBULIAJI WA KAZI

INAELEZWA kuwa baada ya Yanga SC kukamilisha usajili wa beki wa kushoto na nahodha wa Simba SC msimu wa 2024/25, Mohamed Hussein Zimbwe Jr wapo kwenye hatua za mwisho kukamilisha dili la mshambuliaji wa kazi. Mshambuliaji huyo huenda akajiunga na Yanga SC kwa mkopo kwa makubaliano ya pande zote mbili ikiwa ni maandalizi kuelekea msimu…

Read More

MBIO ZA UBINGWA EPL 2025/26: NANI ATANYANYUA TAJI?

Ligi mbalimbali zinatarajiwa kuanza mwezi ujao katikati huku tayari wakali wa ubashiri Meridianbet wakikuwekea timu zote na ODDS za kushinda ligi kuu. Lakini hizi ndio ambazo mojawapo ataondoka na taji hilo. Timu nyingi zinaendelea na usajili mkali huku Manchester United wao wanaenda mwendo wa polepole kwani licha ya kuishia nafasi ya 16 wamesajili wachezaji wanne…

Read More

KHADIM ATAJWA KUIBUKIA SIMBA SC NI BEKI WA MPIRA

WAKATI beki Mohamed Hussen Zimbwe Jr ambaye amedumu Msimbazi kwa miaka 11 akitajwa kuibukia ndani ya kikosi cha Yanga SC, inaelezwa kuwa kuna beki wa kazi anakuja kumalizana na Simba SC. Chini ya Fadlu Davids, msimu wa 2024/25, Zimbwe Jr alicheza mechi 27 za ligi na alifunga bao moja ilikuwa kwenye mchezo dhidi ya Coastal…

Read More

CHAN KUWAPA WACHEZAJI AZAM FC

AZAM FC matajiri wa Dar wamepanga kutumia michuano ya Kimataifa Afrika (Chan) kwa ajili ya kufanya usajili wa msimu ujao wa 2025/26. Ipo wazi kwamba CHAN mchezo wake wa ufunguzi unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa, Agosti 2 kati ya Tanzania ambao ni wenyeji itakuwa dhidi ya Burkina Faso. Tayari Azam FC imekamilisha usajili wa kipa…

Read More

Slotopia, Mtoa Huduma Mpya Aliyeleta Mzuka Mpya Meridianbet

Meridianbet wamefanya yao tena. Kama ulikuwa ukidhani wameshatufurahisha vya kutosha kwa promosheni na michezo yao ya kuvutia, basi subiri kidogo, kuna jipya limeingia, na ni burudani isiyojulikana mpaka uijaribu mwenyewe. Mtoa huduma mpya wa michezo ya kasino mtandaoni, Slotopia, sasa amewasili rasmi kwenye jukwaa la Meridianbet na ameleta mzigo mzito wa michezo ya kisasa yenye kila aina ya…

Read More

KAPOMBE AMWAGA WINO SIMBA, AJIPANGA KWA MSIMU MPYA

Shomari Kapombe anaripotiwa kuwa tayari amekubaliana na klabu ya Simba kuhusu kusaini mkataba mpya wa kuendelea kuwatumikia Wekundu wa Msimbazi, licha ya mkataba wake wa awali kumalizika rasmi Juni 30, 2025. Vyanzo vya kuaminika kutoka ndani ya klabu vinadai kuwa hakuna presha yoyote baina ya pande hizo mbili, na kwamba mkataba mpya upo tayari na…

Read More

KUONDOKA KWA ZIMBWE ITAKUWA PIGO KUBWA KWA SIMBA

Mchambuzi wa soka nchini, Thomas Mushi, amesema kuwa iwapo mlinzi tegemeo wa Simba SC, Zimbwe JR, ataondoka kwenye kikosi hicho, basi itakuwa pigo kubwa kwa klabu hiyo yenye rekodi kubwa ya mafanikio nchini. Kauli hiyo imekuja kufuatia kuibuka kwa tetesi zinazoeleza kuwa Zimbwe JR tayari amemalizana na watani wa jadi Yanga SC, na huenda akatangazwa…

Read More

YANGA SC KUTIKISA USAJILI 2025/26

MABOSI wa Yanga SC inaelezwa kuwa wamedhamiria kulipa kisasi baada ya watani zao wa jadi kuanza kuwatikisa kwenye suala la usajili kuelekea msimu wa 2025/26. Kete ya kwanza kwa Yanga SC kushinda ilikuwa kuinasa saini ya Balla Conte ambaye tayari ametambulishwa Yanga SC kwa kandarasi ya miaka miwili. Mchezaji huyo inatajwa kuwa Simba SC walikuwa…

Read More

ZIMBWE JR NI NJANO NA KIJANI, SIMBA SC YAKATA TAMAA

NAHODHA wa Simba SC, Mohamed Hussen msimu wa 2024/25 kuna uwezekano mkubwa akaibukia ndani ya kikosi cha Yanga SC akiwa ni mchezaji huru. Ikumbukwe kwamba Zimbwe aliongeza mkataba wa miaka miwili kuitumikia Simba SC mwaka 2023 tayari 2025 umefikika tamati Julai 10 2025 hivyo kwa sasa mchezaji huyo ni huru. Julai 19 2025, Zimbwe Jr…

Read More