
MSANII ROSE NDAUKA ANUSURIKA AJALI YA GARI, AMSHUKURU MUNGU!
Msanii wa filamu na muziki, Rose Ndauka, amenusurika katika ajali ya gari na kumshukuru Mungu kwa ulinzi wake. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Rose alishiriki picha za gari lililopata ajali huku akiandika ujumbe mfupi uliojaa shukrani: “Ahsante sana Mungu kwa kutuonekania siku zote ๐๐๐.” Ujumbe huo uliwagusa mashabiki wengi ambao walimiminika kwenye ukurasa wake kumpongeza…