
Kesi ya Mgogoro wa Rasilimali CHADEMA Yasitishwa, Hatima ya Jaji Mwanga Kusubiriwa
Dar es Salaam, Julai 10, 2025 – Kesi namba 8323/2025 inayohusu mgawanyo wa rasilimali za Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), imeahirishwa rasmi na Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, hadi Jumatatu, Julai 14 saa nne asubuhi. Shauri hilo limesitishwa kufuatia maombi ya mawakili wa upande wa waleta maombi waliotaka…