Home Sports VIDEO:CHEKI MAZOEZI YA STARS KUIKABILI ALGERIA Sports VIDEO:CHEKI MAZOEZI YA STARS KUIKABILI ALGERIA June 7, 2022 FacebookTwitterPinterestWhatsApp WACHEZAJI wa Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars leo Juni 7 wamefanya mazoezi ya mwisho kwa ajili ya kuikabili Algeria kesho, Uwanja wa Mkapa saa 1:00 usiku.